2 Corinthians 6:12-13

12 aSisi hatujizuii kuwapenda, bali ninyi mmeuzuia upendo wenu kwetu. 13 bSasa nasema, kama na watoto wangu: Ninyi pia ifungueni mioyo yenu kabisa.

Msifungiwe Nira Pamoja Na Wasioamini

Copyright information for SwhKC